Msanii Shilole ameonekana kukerwa na kitendo cha Muna Love kuita Waandishi wa Habari na kuongea nao ikiwa ni siku chache tu zimepita toka Mtoto wake aitwae Patrick kufariki huku kukiwa na habari za utata ni nani Baba Mzazi wa Mtoto huyo kati ya Patrick au Mtangazaji Casto Dickson?
Shilole ameendelea kulaani kitendo cha Muna kwa kusema hata kama alikua anakitu moyoni angetakiwa kusubiri kwanza hata siku 40 zipite ndio aongee lakini sio mapema hii ambayo Mtoto amezikwa juzi tu…. zaidi bonyeza play hapa chini kupata yote Shilole aliyosema.
VIDEO: MUNA LOVE AFUNGUKA YOTE A TO Z “ATHIBITISHA CASTO NDIO BABA WA PATRICK” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
VIDEO: “SIMJUI PETER, CASTO HAKUMZIKA MWANAE, MUNA LOVE AMEFANYA VIZURI” – MC PILIPILI…….. MTAZAME AKIONGEA YOTE HAPA CHINI