Kutana na pichaz 15 za Luis Suarez, Neymar, Ronaldo, Fabregas na wengine walivyosherehekea Chrismass …
Share
3 Min Read
SHARE
Sikukuu ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu kubwa sana duniani, hususani kwa bara la Ulaya shamrashamra za sikukuu hii zinakuwa kubwa sana tofauti na Afrika, Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mastaa wa soka walivyopost au kusherehekea sikukuu ya Chrismass na familia, watu wao wa karibu na hata na wapenzi wao. Miongoni mwa mastaa wanaosherehekea sikukuu hii ni Luis Suarez, Neymar, Cristiano Ronaldo, Beckham na familia yake.
Critiano Ronalldo katika picha ya pamoj akiwa na marafiki zakeStaa wa FC Barcelona NeymarBeckham na familia yakeDavid Beckham akiota moto akiwa na kofia ya ChrismassMkongwe wa zamani wa Juventus Andre Pirlo akiwa katika mti wa ChrismassMkali wa Chelsea Cesc Fabregas akiwa na familia yakeMshambuliaji wa Man City Sergio Aguero akiwa na mtoto wake mbele ya mti wa ChrismassMcheza ji wa Liverpool Philippe Coutinho akiwa na mkewe na mtoto wakeBeki wa zamani wa Man United Rio Ferdinand akiwa katika mavazi ya father ChrismassNahodha wa zamani wa Liverpool Steven Gerrard akiwa na zawadi za ChrismassLuis Suarez akiwa na mkewe Sofia BalbiMchezaji wa Chelsea Willian akiwa na familia yakeIvan Rakitic wa FC Barcelona akiwa na familia yakeJames Rodriguez wa Real Madrid akiwa na mpenzi wakeNyota wa Arsenal wakifurahia kwa pamojaWachezaji wa Arsenal Calum Chambers na Oxlade-Chamberlain wakiimba na kusherekea sikukuu ya ChrismassMchezaji wa Chelsea Oscar akisherehekea na familia yake
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayokwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE.