Top Stories

LIVE: Spika Job Ndugai arudi Tanzania, ajibu headlines za Ripoti ya CAG (+video)

on

Saa kadhaa zilizopita taarifa ya Bunge ilisema Spika Job Ndugai ataongea na Waandishi wa Habari kuhusu mambo muhimu, AyoTV na millardayo.com zinakukutanisha LIVE na anachoongea Spika Ndugai ikiwemo kutokuwepo kwake Tanzania wiki iliyopita, headlines za Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) na mengine, bonyeza play hapa chini kumtazama.

“UNAKASIRIKA UKIAMBIWA DHAIFU? TUTAENDELEA KULITUMIA”  – CAG … BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

RIPOTI YA CAG KUHUSU UDHAIFU WA CCM NA CHADEMA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

VIDEO: RAIS MAGUFULI ALIVYOPOKEA RIPOTI YA CAG NA KUTOA MAAGIZO

Soma na hizi

Tupia Comments