Top Stories

Taarifa rasmi ya Hospitali ya Bugando “Kibonde amefariki akiwa njiani”

on

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dr. Thomas Rutachunzibwa katika taarifa yake, amesema Mtangazaji wa CloudsFM Ephraim Kibonde alifariki akiwa njiani kuhamishiwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando Mwanza akitokea Hospitali ya Uhuru.

Picha ya mwisho ya KIBONDE imeacha maswali mengi, alimaanisha nini?

Soma na hizi

Tupia Comments