Top Stories

JAFO KIFO CHA KIBONDE: :Hii ni breaking news kwangu, hawezi kuwa mzuri mpaka afe (+video)

on

Leo March 7, 2019 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jaffo amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mtangazaji wa Clouds FM Ephraim Kibonde aliyefariki dunia Jijini Mwanza kwa tatizo la presha.

ISAAC MARO KASIMULIA HALI YA KIBONDE ILIVYOKUWA MPAKA KUFARIKI

Soma na hizi

Tupia Comments