Habari za Mastaa

Clouds FM Top 20: List ya midundo 20 ya wiki, Leo June 25, 2017

on

Top 20 ya Clouds FM leo June 25, 2017 ikisimamiwa na Mtangazaji Mami Baby alikamilisha hesabu ya nyimbo 20 bora za wiki ambapo kama ulipitwa hii ni time yako ya kujua chati imesimama vipi.

Top 20 wiki imeshuhudia maingizo mawili mapya ambayo ni Beka Flavour na wimbo Libebe na Nedy Music na wimbo wa Dozee.

VIDEO: Diamond kaongea baada ya Rayvanny kushinda tuzo ya BET

Soma na hizi

Tupia Comments