Kingine kipya kutoka Star Times ni hiki kilichosogezwa kwako mtu wa nguvu!
Kama unatumia smartphone basi Startimes imetuletea App ambayo ni vizuri na wewe ukawa nayo kwenye hiyo simu yako au iPad unayotumia… App kali ya #Tenbre itakufanya uzipate habari zote kali, chat room inakayokupa uwezo wa kualika marafiki, kupiga stori mbalimbali za vipindi vya Startimes vyote hivi vitaendelea kukufurahisha wakati wote.
Vingi vimerahisishwa, utaweza kuipata orodha yote ya vipindi vya wiki nzima na pia utaweza kuziona channel uzipendazo za TV… Kama wewe ni mpenzi wa filamu, muziki na habari basi hii ndio nafasi yako kuona vipindi vikiruka live… #Tenbre itakusaidia kuweka kumbukumbu ya vipindi vya TV unavyovipenda pia.
Yako mengi bora na mazuri utakayoyapata ukitumia App hii ya Tenbre ambayo Startimes wametuletea, ukitaka kudownload kwa urahisi zaidi bonyeza hapa>>> bofyahapa
Kama una swali au ungependa kujua zaidi, tembelea kurasa za Startimes hapa>>>
StarTimes Tanzania on Twitter >>>https://twitter.com/StarTimesTZ
StarTimes TZ on Facebook >>>https://www.facebook.com/TZStarTimes