Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo.
Bora uwe masikini jeuri mwenye kujua/kuchakarikia anachokitaka …kuliko kuwa masikini wa kutumiwa na wanaojua wanachokitaka-NOTE
— Mwasiti Almas (@mwasitiJ) January 5, 2015
Huna haja ya kufuatilia elimu,tabia au chochote kinachomuhusu mtu fulani,Angalia anachopost kwenye mitandao ya kijamii utapata uhalisia wake — Batuli_Actress (@Batuli223) January 5, 2015
Happy Born day Home boy @king_zillah Ubarikiwe sana na Mwenyezi Mungu akuongezee maisha marefu na… http://t.co/JbHbcXISwC
— Joseph Haule (@ProfessorJayTz) January 5, 2015
Tare 15 Nov 2013 Bw Faru aliwatusi Watanzania kwamba “ni wavivu wa kufikiri, wavivu wa kusoma na washamba sana katika masuala ya uwekezaji” — Reginald Mengi (@regmengi) January 5, 2015
We thank you all for your messages of condolence and solidarity. We shall give further communication in the coming days. RAO.
— Raila Odinga (@RailaOdinga) January 4, 2015
Ni vyema kutafakari tunayoyasema kupitia social media, yawe ni maneno tunayooyaamini na yafanane na yale tunayoweza kuyasema hata hadharani. — J Ntuyabaliwe (@klyinn) January 5, 2015
Viongozi wanaogawa pesa kwa Raia ili tuwachague kwenye Uchaguzi!!!Nasema wakiwapa pesa chukueni kuleni coz ni Pesa zenu!! Kisha MSIWACHAGUE
— MWANAKONDOO ROMA (@Roma_Mkatoliki) January 5, 2015
Hakuna wa2 wanakera kama watu ambao muda wote wao ni kunung’unika. Mungu kampa nyumba utasikia “Nina kakibanda tu Mbezi Maisha mnayo Nyie” — MASANJA (@mkandamizaji) January 4, 2015
Diamond Platnumz
Nsiwe mnafki Ndugu zangu… mi mwenzenu ni mgonjwa sana wa Masongi ya Kihindi, Nshaliwa sana Hamsini, hamsini zangu kwenye vibanda vya Video.. na ndio kitu kilichonisukuma hadi kufanya video na Nyimbo ya Namna hii……basi ukijumlisha na hutu tuvinanda twa bwana @sheddyclever ndio vinantiaga wazimu kabisa… sjui najionaga Sharukh-khan…
CloudsFM:MWILI WA MAREHEMU WAZIKWA NA KUKU TUMBONI
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mwili wa Benadetha Steven (35), aliyefariki dunia juzi umefanyiwa matambiko ya kimila baada ya kupasuliwa na wembe ukiwa kaburini na kuingiziwa kuku ndani ya tumbo lake ikiwa ni ishara ya kuondoa mkosi.
Blog Michuzi
MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AONDOKA RASMI KUELEKEA JIJINI MIAMI KWENYE FAINALI ZA DUNIA
Mrembo wa miss Universe Tanzania 2014 ameondoka rasmi nchini kuelekea nchini Marekani kwenye fainali za dunia za Miss Universe zitakazofanyika jijini Miami tarehe 25 mwezi huu wa januari.
Saleh Jembe
STEVE ASIMULIA ALIVYOFUKUZWA KAZI, NYUMBANI BAADA YA KUHAMA YANGA
STEVE Mwamwala aliyezaliwa Kyela mkoani Mbeya alipata umaarufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania baada ya Yanga kuchapwa mabao 5-0, mwaka 2012.
Shabiki huyo wa Yanga wakati huo, alishindwa kujizuia, akamwaga chozi kwa uchungu na kusababisha wengi kumuonea huruma na umaarufu wake, ukazaliwa.
Hakuwa tena Steve Mwamwala, badala yake akaanza kujulikana kama Steve Yanga na umaarufu wake ukapaa haraka mno. Sasa anajulikana kama Steve Azam.
Steve Azam ni jina jipya baada ya kutangaza kuhamia Azam FC ambao sasa ndiyo mabingwa wa Ligi Kuu Bara.
Kijana huyo ameamua kuhamia Azam FC hali ambayo imewaudhi kwa kiasi kikubwa mashabiki wa Yanga, lakini kubwa zaidi, anasema amepoteza kazi na kuondolewa sehemu aliyokuwa akiishi.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook