Mbunge wa Viti Maalum Susanne Maselle ‘CHADEMA’ amesema Serikali imekuwa inaunga mkono baadhi ya matukio ya migomo ya wavuvi kutokana na changamoto mbalimbali zinazowakabili na kushindwa kutatua changamoto hizo.
VIDEO: Dakika 10 za Prof. Tibaijuka Bungeni kuhusu Wizara ya Maliasili