Fally Ipupa ameingia kwenye headlines za burudani baada ya kumshirikisha staa wa Nigeria 2Face Idibia katika remix ya ngoma yake ‘Sweet Life’.
Hii ni collabo ya pili kwa mastaa hao kushirikiana baada ya awali kutoa ngoma ya ‘Diaspora woman’ iliyotoka mwaka 2014.
Sweet life imesimamiwa na mtayarishaji Julio Masidi.
Karibu uisikilize hapa…
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE.