Habari za Mastaa

T-Pain naye katusogezea mix tofauti ya Classic Man ndani ya; Classic Man (TMix). Video

on

tpain

Wimbo ambao unafanya vizuri kwenye chati za muziki kwa wiki ya pili sasa ni Classic Man remix ya Jidenna aliyomshirikisha HipHop superstaa Kendrick Lamar.

Good news kwako mtu wangu ni kwamba wimbo unazidi kupokelewa vizuri na watu, na msanii wa Pop Crunk nchini Marekani T-pain naye kaweka fleva yake kwenye wimbo huo akiwa amewashirikisha wasanii wengine kama Vantrease na Young Cash.

Version hii inaitwa Classic Man (TMix) na nimekusogezea video ya mix hiyo hapa chini.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments