AyoTV

TOP 10: List ya Private Jet za gharama zaidi Duniani na Wamiliki wake

on

Private Jet au ndege za kawaida ni miongoni mwa vitu ghali zaidi duniani kwa mtu binafsi kuvimiliki, sio kazi rahisi wala gharama nafuu kwa mtu wa kawaida kununua na kumudu gharama za umiliki na uendeshaji wa ndege lakini wapo wanaozimiliki, hawa wamefika mbali hawamiliki tu ndege za kawaida bali Luxury Private Jet, unaweza kutazama Private Jet 10 za kifahari zaidi duniani na zinamilikiwa na watu binafsi.

VIDEO: MAIMATHA KAZUNGUMZA WASHEREHESHAJI KULIPA KODI “MIMI NIMELIPA WAKALIPE WAEPUKE YA MC PILIPILI”

Soma na hizi

Tupia Comments