Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: “Bodaboda acheni kusafirisha Wahamiaji Haramu”- Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Tanga
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > “Bodaboda acheni kusafirisha Wahamiaji Haramu”- Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Tanga
Top Stories

“Bodaboda acheni kusafirisha Wahamiaji Haramu”- Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Tanga

January 27, 2023
Share
2 Min Read
.
SHARE

Mwenyekiti wa umoja wa vijana mkoa wa Tanga Ramadhani Omary amewataka vijana Mkoani Tanga kutoshiriki kwenye swala zima la Usafirishaji wa Wahamiaji haramu kwani kufanya hivyo ni kukiuka Sheria za nchi.

Ramadhani ameyasema hayo Wilayani Handeni wakati akizungumza na vijana wa boda boda na wanachama wa CCM Wilayani humo.

Ikiwa ni maadhimisho ya kuelekea miaka 46 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi CCM na kusema kuwa kuendelea na kushiriki kwa Vijana kwenye usafirishaji wa Wahamiaji ni kupelekea kuhatarisha nchini yetu hivyo ni Muhimu kushiriana na Jeshi la Polisi kufichua wahalifu wanao fanya vitendo hivyo.

“Sisi kama umoja wa vijana hatuwezi kuwa ndo sababu ya kusafirisha wahamiaji haramu hivyo kwani kipato ambacho tunakipata kwa kusafirisha wahamiaji haramu kinaweza kupeleke uhalifu kwenye maeneo yetu “Alisema Ramadhani..

Aidha mwenyekiti huyo wa vijana Mkoa wa Tanga ametoa rai kwa Vijana wanaopata nafasi ya kupata mikopo ya asilimia kumi kutoka Halmashauri wawe na taratibu ya kurudisha ili kuwawezesha na wenzao kuweza kukopesheka.

“Kwakweli inasikitisha sana kuona serikali yetu inawawezesha mikopo vijana isio na riba lakini vijana hao hao ndo wamekuwa kikwazo cha kurudisha mikopo hiyo hilo sio jambo zuri nasio dhamira ya serikali yetu “– Alisema Ramadhani

Hata hivyo mwenyekiti huo amefanikiwa kugawa kadi za umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi CCM kwa wanachama wapya zaidi ya miamoja Wilayani handeni Mkoani Tanga.

.
.
.
.
.
.
.

You Might Also Like

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

Edwin TZA January 27, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Video: Happy Birthday Rais Samia, anatimiza miaka 63, Sugu na wengineo wafunguka
Next Article Alichokifanya Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa, Ulega afunguka “Ametoa kwa Yatima”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?