Serikali ya Tanzania leo April 19, 2017 imetiliana saini mkataba wa makubaliano na Wakala wa Usalama wa Mitandao Korea (KISA) ili kuhakikisha usalama kwenye mitandao hapa nchini.
Akizungumza na waandishi wa Habari Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Uchukuzi na Ujenzi, Dkt. Maria Sasabo amesema licha ya kuwa na faida lakini teknolojia ya mawaliano imekuja na changamoto kubwa.
“Pamoja na kukua kwa teknolojia na faida zake katika kuchangia uchumi kuna changamoto ambazo zimekuja na teknolojia hiyo ikiwemo usalama wa mitandao, au matumizi mazuri ya mitandao.” – Dkt. Maria Sasabo.
Bonyeza play hapa chini kutazama…
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa makubaliano na Wakala wa Usalama wa Mitandao Korea (KISA) ili kuhakikisha usalama kwenye mitandao pic.twitter.com/hSIer3apmv
— millardayo (@millardayo) April 19, 2017
VIDEO: Maamuzi ya serikali kuhusu Madaktari 258 waliotakiwa kwenda Kenya. Bonyeza play kutazama.