Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akiwa Mkoani Iringa amempigia simu Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani katika mazungumzo hayo Bashe na Waziri Kalemani wameweza kutatua tatizo la umeme la mkulima wa matunda ya apple na strawberry huko Itengulinye – Ifunda Mkoani Iringa.
SHUHUDA AELEZEA GHOROFA LILIVYOTEKETEA KWA MOTO MWANZA