Ni Muonekano wa daraja la Kitengule lililopo katika Wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera ambalo limegharimu billion 31 na daraja hili litasaidia kupunguza mzunguko wa km zaidi ya 120 kutoka Wilaya ya Karagwe kuelekea kilipo kiwanda cha Sukari Kagera kama ilivyokuwa awali