Top Stories

Tazama gwaride la Makomandoo waonyesha ukakamavu mbele ya Rais Mwinyi (video+)

on

Ni January 12, 2022 ambapo zimefanyika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani.

Hapa nimekusogezea video hii ushuhudie vikosi vya Makomandoo wakionesha ukakamavu wao mbele ya Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi.

Soma na hizi

Tupia Comments