Michezo

Tazama mapokezi ya Simba SC airport DSM, Zimbwe afunguka ‘Mwakani tunachukua tena’

on

Ni July 26, 2021 ambapo Simba SC tayari imeshawasili Dar es Salaam baada ya kutwaa ubingwa wa goli 1-0 dhidi ya Yanga FC katika mchezo uliochezwa July 25, 2021 katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.

Mohamed Hussein a.k.a Zimbwe Junior amezungumza na waandishi wa Habari.

‘Tunajipanga kwaajili ya kuchukua tena na kuchukua tena sisi ni kawaida yetu na tutakapokutana nao popote tutajiandaa kikamilifu na kikubwa ni mazoezi tu’– Zimbwe Junio

BARBRA APOTEZA MEDALI, AGOMA KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

 

Soma na hizi

Tupia Comments