Habari za Mastaa

Rapper Drake apeta namba moja kwenye streams mwaka huu

on

Ni Headlines za rapper kutokea Canada, Drake ambae time hii anaziandika vichwa vya habari baada ya kutajwa kushika nafasi ya kwanza kwa usikilizwaji wa kazi zake.

Staa huyo japo hajaachia album yoyote kwasasa ila kupitia mtandao wa (most Streamed Artist) ametajwa kuwa msanii wa kwanza kwa kuongoza kupata streams zaidi ya 3.6 Bilioni huku akifuatiwa na wakali wengine wakiwemo Taylor Swift, Morgan Wallen, Juice WRLD, NBA Youngboy, The Weeknd, Rod Wave, Pope Smoke, Polo G na Lil Baby anaikamilisha TOP 10.

TAZAMA SHANGWE LA MASHABIKI WA SIMBA, WAMBEBA MORRISON JUUJUU AIPORT DSM

 

 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments