Mix

TEASER:Fast and Furious 9 kuzinduliwa rasmi mwaka huu (+video)

on

NI Headlines za muendelezo wa msimu wa filamu za Fast and Furious ambapo mwaka huu wanatarajia kutoa toleo la tisa na time hii wameamua kumuweka mkali kutokea kwenye mchezo wa mieleka  aitwae Johncena.

Filamu hiyo inatarajiwa kuzinduliwa tarehe April 8, 2020 huko Belgium hapa nimekuwekea kionjo cha filamu hiyo inayosubiriwa kwa hamu duniani kote.

Tupia Comments