Wajue na hawa mastaa wa Tennis wenye utajiri mkubwa zaidi duniani…(Pichaz)
Share
2 Min Read
SHARE
Ukiachia soka, mchezo wa ngumi na tennis nayo pia iko kwenye list ya kupendwa zaidi na watu hasa kwa nchi za Magharibi.
Kwa upande wa mchezo wa Tennis nao umejizolea umaarufu mkubwa kutokana na kuwa na mashabiki wengi na hata wachezaji kujikuta wakitajirika kupitia mchezo huo kama ilivyo kwa soka na masumbwi.
Leo nimekuletea list ya mastaa wa tenisi wanaoongoza kwa kuwa na utajiri zaidi duniani.
1. Roger Federer ndiye mcheza tenis anaongoza kwa utajiri zaidi duniani ikiwa ni wa dola milioni 320 pamoja na kuingia mkataba wa dola milioni 52 na makampuni ya Nike,Rolex, Wilson2. Andre Agassi amezaliwa katika mji wa Nevada USA, anashika nafasi ya pili kwa utajiri akiwa na dola milioni 1753. Pete Sampras, amezaliwa Maryland USA, anashika nafasi ya tatu kwa utajiri duniani akiwa na dola milioni 1504. Serena Williams, amezaliwa Michigan USA, na anakamata nafasi ya nne kwa utajiri akiwa na dola milioni 140, pia ameingia mkataba wa dola milioni 40 na kampuni ya Nike na Kraft Foods5. Novak Djokovic amezaliwa katika mji wa Belgrade, Serbia, anautajiri wa dola milioni 1206. Maria Sharapova amezaliwa katika mji wa Nyagan Russia, utajiri wake ni dola milioni 1107. Rafael Nadal amezaliwa katika mji wa Manacor Spain, ana utajiri wa dola milioni 1008. Venus Williams amezaliwa California USA, ana utajiri wa dola milioni 759. Andy Murray amezaliwa katika mji wa Glasgow, UK..ana utajiri wa dola milioni 7010. Anna Kournikova amezaliwa Moscow, Russia, ana utajiri wa dola milioni 50
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> TwitterInstaFB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos