BreakingNews

AUDIO: Mwandishi aliyeshuhudia tetemeko la ardhi leo Bukoba asimulia aliyoyaona

on

Taarifa nilizozipokea kutokea Bukoba ni kwamba kuna tetemeko limetokea majira ya saa tisa alasiri, mmoja wa shuhuda wa tukio hilo ambaye ni mtangazaji wa radio Kasibante ya Bukoba amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Maeneo ambayo yameathirika ni yale ya milimani, hata watu ambao wamejenga nyumba ambazo hazina ubora nao nyumba zao zimeanguka na wengine zimepata ufa, hospitali kuu Bukoba nimeshuhudia watu wanaletwa kwa magari na pikipiki wakiwa wamejeruhiwa

fb_img_1473515137335

Eneo la ardhi linalodaiwa kuathiriwa na tetemeko (picha ya Group la Whatsapp la Waandishi kanda ya ziwa)

Kumsikiliza Mwandishi huyu kutoka Bukoba unaweza kubonyeza play hapa chini 

ULIKOSA HII YA JESHI LA POLISI KUHUSU TETEMEKO LA ARDHI DODOMA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments