Videos

VideoMPYA: Foby ft Karen & IbraNation ‘Kitanda’

on

Ni Msanii kutoka Bongo Fleva Foby  ambae time hii amekuletea video mpya ya wimbo wake uitwao Kitanda ambao amewashirikisha Karen & Ibra Nation.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kutuandika maoni yako ili wakali wao wasome ulichowaandikia.

KAMA ULIIKOSA HII YA MODEL ALIYEMTOSA G NAKO NA ASIVUTIWA NA WEMA SEPETU BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments