Kasi ya Wanasiasa kuzungumza na wapiga kura wao kwa sasa ndiyo stori ambayo inazungumzwa karibu kila kona ya Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ambapo kwa Tanzania tutakua tunamchagua Rais wa awamu ya tano.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea kumnadi mgombea wake Urais Dr. John Magufuli na septemba 8 2015 walikua Tanga kwenye uwanja wa Tangamano ambapo wananchi wengi walijitokeza kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea Urais,Ubunge na Madiwani.
Kampeni hizi ziliambatana na utoaji wa burudani kwa wasanii kadhaa akiwemo Diamond Platnumz,Alikiba,Yamoto Band,Barakah Da Prince,Marlaw,Kassim Mganga,Matonya,Mwana Fa,Chege na Temba,Isha Mashauzi,Khadija Kopa,Mzee Yusuph na wengine.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos