Habari za Mastaa

Midundo 20 iliyokamilisha chart ya Top20 #OnAIR jana January 10 2016 yote hii hapa.. (+Audio)

on

Najua nina watu wangu wa nguvu wanaifatilia chart ya ngoma 20 kali zilizofanya poa na kuingia kwenye Clouds FM Top 20… kama ya jana hukuipata, bado nahakikisha haujabaki nyuma na kupitwa.

Hii hapa ya mtu wako wa nguvu kwenye countdown ya ngoma zote nje na ndani, kuanzia ya 20 mpaka number 1 zote unazipata kwenye hii audio hapa mtu wangu !! Enjoy !!

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments