Duniani

Memory za Ijumaa: Trey Songz alipomfanyia massage shabiki wa kike jukwaani mbele ya mamia (video)

on

Trey Songz ni mwimbaji staa wa Marekani ambaye amekua akitajwa katika list ya Waimbaji wanaopendwa na mabinti na hata nyimbo zake zimekua za mapenzi kwa asilimia kubwa, sasa kwenye hii video jamaa alikua anafanya yake kwenye stage akaamua kunogesha na kumfanyia massage shabiki…

https://www.youtube.com/watch?v=ZaS5JikfIgA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments