Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Vyama 9 vya siasa kati ya 14 vimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio Z'bar uliopangwa kufanyika Machi 20 #GazetiMWANANACHI #Feb10
— millard ayo (@millardayo) February 10, 2016
Jeshi la Polisi Z'bar lapiga marufuku Madaktari kuwahudumia watu wanaokwenda hospitali baada ya kupigwa bila kuwa na 'PF3' #GazetiMWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) February 10, 2016
Mtu mmoja amefariki na wengine 55 kulazwa ktk zahanati ya Mbulimboli,Iringa kutokana na ugonjwa wa kipindupindu #GazetiMWANANCHI #Feb10
— millard ayo (@millardayo) February 10, 2016
Mfanyabiashara Moro akamatwa akiwa amehifadhi shehena za soda na juisi 'chooni' #GazetiMWANZNCHI #Feb10 >>>https://t.co/vsWIBZVHWf
— millard ayo (@millardayo) February 10, 2016
Jeshi la Polisi Iringa, linamshikilia kijana wa miaka 35 kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 13 na kumsababishia maumivu #GazetiJamboLEO
— millard ayo (@millardayo) February 10, 2016
Watu 47 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mbeya, kwa tuhuma za kujichukulia sheria mkononi na kuwaua wazee 2 wa familia moja #GazetiNIPASHE
— millard ayo (@millardayo) February 10, 2016
Kijana wa Kitanzania miaka 28, ameuawa kwa kushambuliwa na umati wa watu Kenya, baada ya kuwaua watu 2 kwenye kasino #TanzaniaDAIMA
— millard ayo (@millardayo) February 10, 2016
Walimu shule ya msingi Mama Maria Nyerere, Mara wanalazimika kulala ofisini baada ya kukosa nyumba za kuishi #GazetiMTANZANIA #Feb10
— millard ayo (@millardayo) February 10, 2016
Beki wa Chelsea, Kurt Zouma atakuwa nje ya uwanja kwa miezi sita baada ya kufanyiwa upasuaji ktk goti lake #GazetiMWANANCHI #Feb10
— millard ayo (@millardayo) February 10, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTERFBYOUTUBE