fB insta twitter

‘Jimboni kwangu watu hawaoi wanawake wazuri’-Mbunge wa Karagwe

on

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.

Moja ya stori kubwa ni hii ya gazeti la Raia Tanzania yenye kichwa cha habari ‘Jimboni kwangu watu hawaoi wanawake wazuri’, kauli imetolewa na mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa ‘CCM’ wakati alipokuwa akichangia hotuba ya Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo alisema watu jimboni kwake wanaogopa kuoa wanawake wazuri kwa sababu wanachukuliwa na wanajeshi.

Bashungwa wakati akichangia hotuba hiyo ameiomba Serikali kuhakikisha inaimarisha ulinzi kwenye kata ya Bweranyangi ambako wanajeshi wengi hulinda mpaka wa nchi.

ULIKOSA YALIYOMKUTA KITWANGA KABLA YA KUNG’OLEWA, POLISI KUPIGA MARUFUKU WANAWAKE KUITWA CHURA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments