AyoTV

Kitu Mwinyi Zahera angefanya kama wachezaji wake wangetoroka kama wa Simba

on

Moja kati ya habari iliyochukua headlines sana katika mitandao ya kijamii hapa Bongo ni ishu ya wachezaji saba wa Simba SC kudaiwa kutoroka kambini na kwenda kusikojulikana, habari hiyo ilitawala sana mitandaoni kiasi cha kuripotiwa kuwa ndio sababu ya Simba kubadili meneja.

Sasa tulifanikiwa kukutana na kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera na kumuomba vipi kwa upande wa wachezaji wake wanatoroka kambini? akijua atafanya au kuna utaratibu gani katika kambi ameweka ili kuhakikisha wachezaji wake hawatoroki.

“Ni nidhamu tu ya mchezaji kama akisema atoroke kambini anaweza kutoroka kama anaona utaratibu wetu sio mzuri”>>>Mwinyi Zahera

Msimamo wa Beno Kakolanya Yanga ndio huu, katuma tena barua

Soma na hizi

Tupia Comments