Leo April 15, 2017 Rais Magufuli amezindua hostel za wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ‘UDSM’ baada ya kukamilika ujenzi wake ambapo hostel hizo zitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,840 kwa wakati mmoja.
September 6, 2016 Rais Magufuli alifanya ukaguzi wa hostel hizo ambazo zimejengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
'Niliamua kuanzisha ubalozi wa Israel wapo waliolalamika lakini kwa kumteua tu balozi kwenda kule fedha zimeingia'-JPM #UzinduziHOSTELUDSM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Adui wa mwenzako sio adui yako wewe, waache waendelea na uadui wao, wale wote wawe rafiki zako, lengo kubwa ni Tanzania kwanza'-JPM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Kuna watu walizoea maisha ya ajabu, ninyi hamyajui, mimi nayajua, mniache nishughulike nao hao'-JPM #UzinduziHOSTELUDSM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Watu walikuwa wanafanya kufuru na fedha za watanzania, hizo kufuru ndio nimezifunga'-JPM #UzinduziHOSTELUDSM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Siku tu nilipomteua Prof. Mkumbo alienda kwa @hpolepole kwenda kuangalia ilani ya uchaguzi mahali panapohusu maji ili akatekeleze'-JPM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Nilitamani mbunge wa hapa awepo leo asimame aniombe chochote nami ningetoa lakini inawezekani shida hizi hazifahamu-JPM #UzinduziHOSTELUDSM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Uongozi wa chuo angalieni uwezekano wa kutafuta mabasi hata matano tuwasaidie hawa wanafunzi'-JPM #UzinduziHOSTELUDSM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Kwanini chuo kikuu tusiwe na mpango wa kuwa na mabasi, kweli chuo kikuu hiki kimeshindwa kununua mabasi?-JPM #UzinduziHOSTELUDSM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Miaka yetu ya nyuma kulikuwa na mabasi ya chuo, yalikuwa mabasi mazuri, hayo mabasi yako wapi?'-JPM #UzinduziHOSTELUDSM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Niombe Wizara ya elimu, TCU tubadilishe utaratibu wa kuchagua wanafunzi, wanafunzi wenyewe wachague badala ya TCU'-JPM #UzinduziHOSTELUDSM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Wanafunzi wanalazimishwa kupelekwa kwenye kachuo ambako hakana hata jina'- JPM #UzinduziHOSTELUDSM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Wakati mwingine wakuu wa vyuo wanaenda TCU kuomba wapangiwe wanafunzi pamoja na kwamba sina ushahidi'-JPM #UzinduziHOSTELUDSM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Wanafunzi wachague vyuo wanavyovitaka ambavyo havitachaguliwa vife, kwa nini mnalazimisha'-JPM #UzinduziHOSTELUDSM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
'Kuna vyuo ambavyo haviko kwenye Standard vina hakikisha vinapata wanafunzi kwa sababu wanapata mkopo'-JPM #UzinduziHOSTELUDSM
— millardayo (@millardayo) April 15, 2017
VIDEO: JPM alivyozindua hostel UDSM. Bonyeza play kutazama.
FULLVIDEO: JPM alivyozindua Mradi wa Majengo ya Magomeni Quarters DSM. Bonyeza play kutazama.
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo