Ikiwa zimepita siku Tatu tangu aliyekuwa Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Donkuzikwa huku moja ya matukio katika msiba huo likiwa ni Kundi la Rich Gang kumwaga fedha kwenye kaburi, gumzo limeibuka kutokana na kitendo hicho.
Benki Kuu ya Uganda imetoa tamko la kutaka Vyombo vya Dola viwachukulie hatua waliotupa hela kwenye kaburi la Ivan Don wakati anazikwa.
Benki Kuu Uganda imetoa tamko la kutaka vyombo vya dola viwachukulie hatua waliotupa hela kwenye kaburi la Ivan Don wakati anazikwa #LeoTena pic.twitter.com/RFJv7qzHMg
— millardayo (@millardayo) June 2, 2017
VideoFUPI: Kundi la Rich Gang lamwaga hela katika Kaburi la Ivan!!!