Burudani

DIAMOND: “Nilimpa HAMISA laki 5 kila wiki kwa ajili ya mtoto”

on

Mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz leo amehojiwa na LEO TENA ya CLOUDS FM Dar es salaam na kueleza kwa mara ya kwanza kuhusu ishu ya Mtoto wa Hamisa na amekiri kuwa mtoto wa Hamisa ni wake na alikuwa akimpatia laki tano kila wiki.

MTOTO WA HAMISA: Diamond kafunguka kuhusu ukimya wake

Soma na hizi

Tupia Comments