Habari za Mastaa

Shilole ana ‘stress’ za kuachwa na mpenzi ?! Ameshamnasa mpya? Kayajibu yote.. #UHeARD (+Audio)

on

Mwaka 2016 umeanza huku kukiwa na stori kubwa ya mastaa wawili wa muziki waliokuwa na uhusiano wa kimapenzi, Shilole na Nuh Mziwanda kutengana na kila mmoja kuendelea na maisha yake.

Soudy Brown akamcheki Shishi kujua nini kinaendelea kwa sasa kwa upande wake.. Shishi kasema kama akiwa tayari kumuweka hadharani mpenzi wake mpya basi kila mtu atamjua lakini story za yeye kuwa na uhusiano kwa sasa na watu wengine hazina ukweli wowote.

Shishi amesema kwa sasa ni yeye na kazi hana tena mawazo ya mpenzi… sauti ya Soudy Brown na Shilole kwenye U Heard hii hapa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments