Soudy Brown leo yuko na story ya Barakah Da Prince, ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yoyote?
Barakah amesema hana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yoyote, aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msichana mmoja akiwa Shule ya Sekondari, walipishana vidato wakati huo, baadae uhusiano wao ukaisha kwa hiyo toka hapo hakuingia kwenye uhusiano na mtu mwingine.
Jamaa anasema baada ya hapo aliamua kutokuwa na uhusiano na mwanamke yoyote, kwa hiyo kama uliwahi kusikia story kuhusu yeye na mwanamke yoyote kuwa na uhusiano ujue hakuna ukweli wowote.
U Heard hii hapa kwenye sauti wake mtu wangu, ukiplay utamsikiliza Baraka na Soudy Brown ilivyokuwa kwenye U Heard.