Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Davido atoa tamko kuhusu vitisho anavyovipata

on

Baada ya kulitangaza vizuri bara la Afrika na kuona mafanikio makubwa kutoka kwa superstar Davido kutokea nchini Nigeria sasa ameonekana kupokea vitisho kutoka kwa watu mbalimbali.

Kupitia mtandao wa twitter wa Davido ameweka wazi kuwa anapokea vitisho vingi sana na yuko tayari kwa vitisho hivyo. Baada ya maneno hayo ya Davido wengi wamecomment na kusema kuwa kila mafanikio huwa yaja na wapinzani ambao watachukia.

“Napata vitisho vingi sana, niko tayari kwaajili ya vitisho hivyo” >>>Davido

 

MAMA MONALISA “Sipendezwi na kinachoendelea mitandaoni, Sonia nilimwambia anasomea kijiji”

Soma na hizi

Tupia Comments