Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Irene Uwoya azidi kuwalilia Agnes Masogange na Ndikumana

on

Irene Uwoya amezidi kuonyesha alivyopata pigo kubwa kutokana na kifo cha rafiki yake wa karibu Marehemu Agnes Masogange aliyefariki April 20,2018 na pia kifo cha aliyekuwa mume wake Marehemu Hamad Ndikumana aliyefariki November 15,2017.

Irene Uwoya ame-post video iliyoambatanishwa na picha za Marehemu Agnes Masogange na Marehemu Hamad Ndikumana na ku-post kwenye instagrma page yake.

Ekwueme…you are the living GOD ooh…Eze,no one like you 🙏

A post shared by Actress/Mom/Queen of Bongo Mov (@ireneuwoya8) on

Billnas aongelea ishu ya kuoa mwakani

Soma na hizi

Tupia Comments