Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge ametembelea ujenzi wa Stand mpya ya Mabasi inayojengwa Mbezi Luis Dar es salaam na kusema ujenzi huo umefikia asilimia 80 >>> “Ni kituo cha kimataifa, kutakuwa na Shopping Mall, parking, maduka, jengo la utawala nk lengo ni kuboresha huduma kwa Wananchi, Ubungo ni padogo”
