Leo James Mbatia amezungumza na Vyombo vya habari kuhusu hatma ya uzinduzi wa kampeni zao ambazo zitafanyika August 29, Dar es salaam pamoja na mambo mengine mbalimbali ndani ya UKAWA ikiwemo issue ya Mgombea wao Edward LOWASSA kuzuiwa kufanya ziara mitaani.
Hapa nimekuwekea baadhi ya Sentesi alizozungumza wakati wa Mkutano huo na waandishi wa habari…
JAMES MBATIA: ‘Ni jambo la wazi kuwa nchi yetu inaendeshwa kwa mujibu wa sheria ya Jamhuri ya Muungano #CDM2015#DSM#MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA: ‘Sheria inasema ili mgombea yeyote aweze kupewa nafasi lazima apitie kwenye vyama vya siasa’ #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA:’MECK SADICK alitoa agizo la Mkoa wake kukataa mikusanyiko, maandamano na kutaka sheria zifuatwe #CDM2015 MillardayoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA: ‘RPC akasema ni agizo la mkubwa wake analitii kwa sababu ya mfumo uliopo wa kamati za usalama’ #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA:’Tulishuhudia sote J2 kwenye kampeni za ufunguzi wa CCM, Mkuu wa Mkoa akishiriki kuvunja sheria #CDM2015 #MillardAyoLIVEUPDATES
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA: Akiwa Jangwani muda wa kampeni unaisha saa 12 lakini alishiriki mpaka saa 1 usiku akiwa na RPC #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Binafsi niliwasiliana na M’kiti wa tume ya uchaguzi,IGP na Msajili wa vyama kuwaeleza hilo’ #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Anayesimamia uvunjaji wa taratibu hizo na sheria ni Amiri Jeshi mkuu Jakaya Kikwete’ #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA-‘Lugha za kejeli,matusi na ambazo si za Watanzania zinazoashiria umwagaji damu zinatumiwa na CCM #CDM2015 MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Usipotenda haki kwenye uchaguzi,Watanzania wataidai haki hiyo kwa nguvu na hawawezi kukubali’ #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA-Tanzania ni mali ya Watanzania na si ya mtu mmoja ama kikundi cha watu wanaodhani ndio wenye haki#CDM2015 MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Nakumbuka mwezi huu tulipokwenda kumzika Mzee Peter Kisimo tulizuiliwa hata kwenda kumzika’ #CDM2015 #MillardAyoLIVEUPdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA-‘Yaani sasa ivi imetokea kwamba akifariki mtu wa CCM basi upinzani hatuwezi kwenda kuzika’ #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Hata tulipotumia aina ya busara ilishindikana,Tunalipasua Taifa la Tanzania vipande vipande,’ #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Kampeni zimeanza Mgombea wetu wa Urais LOWASSA anajulia watu hali ni haki yake kikatiba’ #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Anaangalia hali ya masoko, usafiri, leo alitakiwa kuangalia hospitali ziko vipi anazuiliwa #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Wakati LOWASSA anazuiliwa kwenda kuangalia hospitali SAMIA SULUHU jana alikua Huruma Hospital #CDM2025 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Inatia hasira kweli kweli ‘Yaani KOVA atufundishe sisi namna ya kufanya kampeni za uchaguzi? #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Askofu Gwajima alitoa kauli zilizosemekana za kuudhi dhidi ya PENGO lakini alisema amemsamehe #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘PENGO alimsamehe hadharani lakini Vyombo vya dola vilijitokeza na kumfungulia kesi mahakamani #CDM2015 #MillardAyoLIVEUO
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA-‘Juzi tumeshuhudia matusi mabaya kuliko ya GWAJIMA yakitolewa akiwemo MKAPA,kwa nini hajakamatwa?#CDM2015 MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Kwanini KOVA hajamkamata MKAPA na wenzake ili kuwafungulia mashtaka dhidi ya uchochezi? #CDM2015 #MilllardAyoLIVEUpdates

JAMES MBATIA- ‘Hizi sheria ambazo zinakuwa na undumilakuwili nchi inapasuka, tumeshuhudia kejeli za kila aina #CDM2015 MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- Tutazindua kampeni Tar. 29 JANGWANI kwa taratibu, tunakwenda baada ya kunyimwa uwanja wa Taifa #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates

JAMES MBATIA- Na si mara ya kwanza Uwanja wa Taifa kutumika kwa matukio ya kisiasa lakini tumezuiliwa kutumia #CDM2015 MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA-Wameuza maeneo yoote ya wazi, tunahitaji kutumia Jangwani japo ni sehemu finyu,wameanza mizengwe #CDM2015 MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Manispaa ya Ilala wakasema tupeleke barua, wamekataa tulipie Uwanja umepewa mtu mwingine’ #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates

JAMES MBATIA- Huyo mtu mwingine nani? watuambie basi ili tukubaliane na uyo mtu aliyepewa, hawataki kusema #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Vitendo hivi vinatia hasira, vinajenga chuki, vinanyima haki na kulisambaratisha Taifa’ #CDM2015 #MillardAyoLIVEUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Hawezi kutumia nguvu za dola kuzuia mwenzako wakati ni haki yake ya kimsingi ya kikatiba’ #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Hatutakubali haya, Tumesema tutafanya kampeni kwa amani, tutajitahidi kulileta Taifa hili pamoja’ #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Hata wakituwekea vikwazo vya namna gani hakuna Mamlaka yeyote inayozidi nguvu ya umma’ #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Umma ukiamua jambo lake liwe na litakuwa tu, sisi wengine ni wakongwe kwenye hizi siasa’ #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Tunahitaji utulivu na ustawi wa Taifa la Tanzania, hatuhitaji kuhubiri chuki kwa Watanzania’ #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Mikutano yetu yoote ya kisiasa hatujawahi kumwaga damu,lakini tumeshuhudia wenzetu wakimwaga damu #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Dodoma tumeshuhudia wakitumia magongo kupigana wenyewe hadi kuzimia, Mawaziri wanapiga vichwa’ #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA-Tunamshudia Rais wa nchi anajenga chuki,anasema eti SUMAYE anajenga chuki,uchochezi kututukana sisi #CDM 2015 MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA-Kuna nguzo 6 za umaskini: Fitna anazofanya Kikwete, Umbeya,Majungu,uongo,Chuki na umaskini wa fikra #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘MBOWE ambaye tulipaswa kuwa naye hapa, anahangaika huku na kule kuhakikisha kampeni zinafanyika kwa amani’ #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Ipo wapi Misingi ya Baba wa Taifa aliyotuachia, ipo wapi udugu wa kuitana wewe ni Lofa, mpumbavu? #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA -Tunamuenzi vipi Mwalimu? wanaojiita wanafuata misingi yake wanatukana kwa kuita watu malofa na wapumbavu #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Nawaomba Watanzania tusitumie jazba,tutumie hekima na busara, tumwangalie Mama Tanzania kwanza’ #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Tukio la uchaguzi ni la kupita tu baada ya miezi miwili, Tanzania itaendelea kuwepo na CCM itasambaratika’ #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- KANU Kenya iliondoka lakini Kenya ipo, UNIP ya Zambia iliondoka,Tusiwe na wasiwasi CCM ikiondoka madarakani #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Niombe Watanzani wale wanaotukana tuwasamehe bure kwa sababu imeandikwa samehe mara saba sabini’ #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Uzinduzi wetu wa kampeni bado upo pale pale Tar.29 na tunasisitiza ni haki yetu ya kimsingi’ #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA -Nimuombe tena Jaji LUBUVA kwa mara nyingine yeye ndiye refa wa uchaguzi,atumiea vizuri nafasi yake #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
Jaji LUBUVA asipojaa kwenye kiti chake na kushuhudia vitendo viovu na kushindwa kukemee, historia itamuhukumu #CDM2015 #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Msajili wa vyama vya siasa anayejiita mlezi wa vyama, ulezi wake uko wapi? wakati watu wanaitwa wapumbavu’ #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
JAMES MBATIA- ‘Waliomteua ndio wanaotukana, sheria si inamlinda, ndio maana tunasema ccm si chama cha siasa bali cha dola #MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 26, 2015
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos