Ni Machi 1, 2022 ambapo imeripotiwa kutokea kwa shambulio la kombora kupiga kwenye mji wa pili kwa ukubwa Kharkiv mashariki mwa Ukraine.
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
MTOTO WA RAIS MUSEVEN AUNGA MKONO UVAMIZI WA URUSI NCHINI UKRAINE , ASEMA ‘PUTIN YUKO SAHIHI KABISA’