Leo August 27, 2019 Nakukutanisha na Kijana Frank Francis Mhina ambaye amesema aliapata Virusi vya UKIMWI akiwa katika gereza la Segerea ambapo alikuwa na kesi baada ya kuibiwa kwa bajaji ambayo alikuwa akiendesha.
“Nilipokuwa naingia Segerea sikua na Virusi vya UKIMWI nilishapima hata wakati naingia nilipimwa, ugumu wa maisha gerezani nikawa na-share nyembe na vitu vingine, nilipotoka afya yangu ilianza kuwa mbaya nikawa naumwa ndo nikapima nikakutwa nimeathirika” Frank
SERIKALI YAMTAJA ALIESABABISHA NDEGE YA TANZANIA KUKAMATWA AFRIKA KUSINI