Kwa kufanya tafiti mbalimbali juu ya masuala ya viumbe hai na tabia zao, ndipo tunapata kufahamu namna viumbe walivyokuwa tofauti katika tabia na mienendo hata maumbile ambapo miongoni mwa mambo hayo hushangaza, hufurahisha, hustaajabisha lakini yakiwa na mafunzo kwa wanaoyafuatilia.
Unaambiwa Mende akigusana na binadamu hukimbilia sehemu yenye usalama kwake na kujisafisha. Hii ni kwa sababu huamini hakuna kitu au mtu safi kwake. Nimekukusanyia hapa chini list ya mambo saba ambayo huenda ulikuwa huyafahamu.
#UNAAMBIWA Hangover ndefu kuwahi kumpata mnywaji wa pombe ilidumu kwa wiki nne (Mwezi mzima), mnywaji wa Scotland alikunywa glass 60 za bia pic.twitter.com/4MkYvNUGAp
— millardayo (@millardayo) April 17, 2017
#UNAAMBIWA Watu wanaotumia Twitter zaidi badala ya Facebook mara nyingi huwa na uwezo mkubwa wa akili, tatizo lao kubwa ni kukosa usingizi. pic.twitter.com/f2YO4s6Krf
— millardayo (@millardayo) April 17, 2017
#UNAAMBIWA Mende akigusana na binadamu yeyote hukimbilia sehemu yenye usalama kwake na kujisafisha, Mende huamini hakuna kitu/mtu safi kwake pic.twitter.com/4802WnQcOG
— millardayo (@millardayo) April 17, 2017
#UNAAMBIWA Vile unavyopata shida sana kubadilika wewe mwenyewe, ndivyo unatakiwa kuamini una nafasi ndogo mno ya kumbadilisha mtu mwingine pic.twitter.com/kGGZuQZbZ3
— millardayo (@millardayo) April 17, 2017
#UNAAMBIWA Kila mwaka kunakuwa na mwezi unaoanza tarehe 1 siku ya Jumapili na ni lazima uwe na siku ya Ijumaa ambayo inakuwa tarehe 13 pic.twitter.com/DJ1bHgsIn6
— millardayo (@millardayo) April 17, 2017
#UNAAMBIWA Kama uko safarini na haufurahii safari yako, basi ujue hautafurahi kabisa ukifika sehemu uliyokuwa unakwenda. pic.twitter.com/5NWM80R5tr
— millardayo (@millardayo) April 17, 2017
#UNAAMBIWA Kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa (UN), kila siku duniani kuna watu takribani bilioni 1 hulala wakiwa na njaa kali. pic.twitter.com/szbrVTTsED
— millardayo (@millardayo) April 17, 2017
VIDEO: Harmonize na Rich Mavoko walivyoitambulisha ‘Show Me’ Mbagala. Bonyeza play kutazama.