Premier Bet
TMDA Ad

Mix

Video nyingine kutoka kwenye eneo walikouwawa Polisi wanne wa Marekani

on

Ni saa chache zimepita toka Polisi kuwauwa kwa risasi Wanaume wawili Wamarekani weusi nchini Marekani, taarifa za sasa ni kutoka Dallas Marekani ambako imethibitishwa kutokea kwa mauaji ya Polisi wanne na wengine kujeruhiwa kwa risasi wakiwa kwenye maandamano yaliyofanywa na Wananchi kupinga mauaji ya Wanaume Wamarekani weusi wawili ndani ya saa 48.

Imeripotiwa kwamba waliotekeleza mauaji ya Polisi hao walikua kwa juu kwenye jengo na inaaminika ni watu wenye ujuzi wa ziada kwenye utumiaji wa silaha maana hata silaha wanazoaminika kuzitumia ni zenye uwezo mkubwa.

Soma na hizi

Tupia Comments