Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Kilichomkuta Staa wa Jamaica baada ya kuvaa kama ‘Yesu’

on

Msanii Mavado kutokea Jamaica anayefanya muziki wa Dance hall ameshambuliwa na mashabiki kwenye mitandao ya kijamii baada ya kujivisha uhusika na kujifanya Yesu.

Msanii huyo wa Dancehall ametumia ukurasa wake wa instagram kupost picha hiyo na wengi kudai kuwa kitendo cha kupiga picha hiyo ni kwaajili ya kuitumia katika project yake ijayo ya muziki.

Kutokana na picha hiyo mashabiki wamemjia juu na wengi kusema kuwa anavunja sheria pamoja na kuikosea heshima dini ya Kikristu, na wengine kumtaka asimchukulie Yesu kwenye masuala ya utani.

 

Irene Uwoya ‘Ni muda wa mwanaume mpya’

Soma na hizi

Tupia Comments