Top Stories

Video ya Uwoya iliyozua GUMZO !

on

August 31 2018 Watanzania mbalimbali wanaofatilia habari za mastaa kwenye mitandao ya kijamii  walizidi kuweka alama ya viulizo kuhusu uhusiano wa Dogo Janja na Mkewe Irene Uwoya ambapo hii ni baada ya sauti ya mwanaume mwingine kusikika kwenye video aliyorekodiwa Irene Uwoya akiwa Dubai.

Soma na hizi

Tupia Comments