Habari za Mastaa

Mama kafunguka “Dogo Janja ni kila kitu kwangu, naumia akitukanwa” (+video)

on

Mama Mzazi wa Dogo Janja, Zaitun Omary amefunguka na kusema anaumia sana kuona watu wanamtukana mtoto wake kwenye Mitandao ya kijamii huku wengine wakisema hajamjengea hata nyumba ya kuishi.

“Naumia sana wanaomsema Dogo Janja vibaya sijui hajali nyumbani, sijui amwangalii Mama yake nyumbani lakini huyu ni kila kitu kwangu” Mama Dogo janja

MADEE “DOGO JANJA NI MTOTO, ANAJENGA DAR, MAMA ALICHOKA KULIPA KODI”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments