Videos

VideoMPYA: Vanessa Mdee katuletea hii aliyofanya na Peter wa P Square

on

Mwimbaji staa wa Bongofleva Vanessa Mdee amerudi tena kwenye TV zetu na video yake mpya ambayo amemshirikisha Staa wa kundi la P Square Nigeria aitwae Peter a.k.a Mr. P, ukishaitazama video yenyewe hapa chini usiache kutuandikia comment yako umeipokeaje.

HISTORIA YA VANESSA MDEE… bonyeza hapa chini kumtazama

VIDEO: Watoto wa Kitanzania walivyocheza fainali ya Dancers mbele ya Vanessa Mdee, tazama ilivyokua hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments