Videos

VideoMPYA: G Nako kashirikishwa na Nacha kwenye hii ‘Boss mpya’

on

Karibu Bongoflevani, kiwanda kinachotoa mpya kila siku na leo ni zamu ya Nacha aliyemshirikisha G Nako kwenye hii inaitwa ‘Boss mpya‘, ngoma ambayo sehemu ya mashairi yake imegusa hali ya sasa ya bongo…. ukishamaliza kuitazama usisahau kuandika comment yako umeipokeaje

EXCLUSIVE: Belle 9 na G Nako kuhusu project yao, Lord Eyez, Harmorapa na wengine… bonyeza play hapa chini kutazama mwanzo mwisho

VIDEO: Suprise ya Diamond Platnumz kwenye harusi ya Profesa J, tazama hapa chini mwanzo mwisho

Soma na hizi

Tupia Comments