Video Mpya

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana Dully Sykes ametuletea ‘Nikomeshe’ yupo na Harmonize

on

Abdul Sykes a.k.a Dully Sykes anazo heshima zake nyingi bongoflevani ambapo leo ametuletea brand new video inaitwa ‘Nikomeshe’ akiwa amemshirikisha Konde Boy Harmonize. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama, ukishaitazama hapa chini usiache kuandika comment yako ili akipita Dully Sykes mwenyewe ajue watu wake wamesemaje

CHRISTIAN BELLA AMTETEA HAMISA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

Soma na hizi

Tupia Comments