Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Msanii K-Nel na verse zake za mapenzi kwa Lupita Nyong’o mtu wangu…

on

lupita-18114-main1Watu na mapenzi yao, February mwezi wa mapenzi na upendo unaambiwa huu ni mwezi wa kusambaza love kama dawa kwa watu wako wote wa nguvu, nina hii kutoka Kenya !!

Wiki iliyopita jamaa huyu K-Nel aliachia video ya wimbo unaoitwa ‘Ali Baba‘ ambapo hiyo ilkuwa siku ya Ijumaa, leo ni muda mfupi tu ameachia hii ngoma ambayo kaipa jina ‘Lupita Ninyonge

c47e24a321468f600273fe1744ad92df_LLupita Ninyonge ni wimbo ambao una story iliyokaa kama ya kuchekesha hivi, kuna mistari ambayo jamaa ameimba hivi; “Nitakupikia ugali usikonde… ile siku nitakuoa ndiyo nitaokoka” wimbo ambao utakuwa kwenye album inayoitwa ‘Naomi’s Baby’.

Kionjo cha hiyo video ‘Lupita Ninyonge’ hiki hapa yaani.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments