Ikiwa Julai 7 ni siku ya maadhimisho ya Kiswahili Duniani sasa hapa nimekusogezea Kumbukizi ya Hayati John Pombe Magufuli ufahamu alichowahi kuzungumza kuhusu kuwataka watanzania kuthamini Lugha ya Kiswahili yaani kuonesha Uzalendo juu ya lugha hii.